KANDA

RAMANI YA TANZANIA


TUNA KANDA 8 KUTOKA KWENYE MIKOA 25 YA TANZANIA BARA NA TUNA KANDA 2 KUTOKA TANZANIA VISIWANI. HIVYO BASI, TUNA KANDA 10 KUTOKA NCHI YETU YA TANZANIA. IJAPOKUWA WAMACHINGA WAPO DUNIANI KOTE HATUTAKUWA NA BUDI KUWA NA WASPOC NCHI ZINGINE.

TUKUMBUKE KWAMBA MIKOA HII YOTE HAINA VIONGOZI WAKUU WA MIKOA YA WASPOC, HIVYO TUNAWAOMBA MJITOKEZE KWA WINGI MTEULIWE KUWA VIONGOZI KAMA VILE MWENYEKITI MKOA WA WASPOC DAR ES SALAAM, MAKAMU WA MWENYEKITI MKOA WA WASPOC DAR ES SALAAM, KATIBU TAWALA MKOA WA WASPOC DAR ES SALAAM N.K.

KANDA ZETU NA MIKOA YETU

  1. MASHARIKI
    1. DAR ES SALAAM         (MAKAO MAKUU YA KANDA NA TAIFA YA WASPOC)
    2. PWANI
    3. MOROGORO
  2. KATI
    4. DODOMA                       (MAKAO MAKUU YA KANDA)
    5. SINGIDA
  3. KASKAZINI
    6. ARUSHA                         (MAKAO MAKUU YA KANDA)
    7. MANYARA
    8. KILIMANJARO
    9. TANGA
  4. NYANDA ZA JUU KUSINI
    10. IRINGA
    11. MBEYA                          (MAKAO MAKUU YA KANDA)
    12. NJOMBE
  5. MAGHARIBI
    13. KATAVI
    14. KIGOMA
    15. RUKWA
    16. TABORA                        (MAKAO MAKUU YA KANDA)
  6. KUSINI
    17. LINDI
    18. MTWARA                       (MAKAO MAKUU YA KANDA)
    19. RUVUMA
  7. ZIWA MASHARIKI20. MARA
    21. SHINYANGA                   (MAKAO MAKUU YA KANDA)
    22. SIMIYU
  8. ZIWA MAGHARIBI23. GEITA
    24. KAGERA
    25. MWANZA                         (MAKAO MAKUU YA KANDA)
  9. PEMBA1. KASKAZINI
    2. KUSINI                               (MAKAO MAKUU YA KANDA)
  10. UNGUJA3. KASKAZINI
    4. KUSINI
    5. MJINI MAGHARIBI           (MAKAO MAKUU YA KANDA)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni