Klabu Ya Michezo Ya Wamachinga wa Tanzania inajihusisha na michezo mbalimbali kwa kushirikiana na mashirikisho na vyama vya michezo husika kwa kutumia wataalamu wa michezo husika.
MAKAO MAKUU:- OFISI ZA KAWASSO, Kariakoo Shimoni, Narung’ombe na Nyamwezi; 0713 251 041, Instagram: @wamachingasportsclub
Whatsapp: 0654 955 825, Facebook: Wamachinga Sports Club Tanzania
wamachingasportsclub@gmail.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni