WASPOC

  1. HISTORIA 
    WASPOC ni klabu iliyosajiliwa na serikali kupitia BMT yenye usajili NSC 11919 wa tarehe 13-10-2017 chini ya Chama cha WAMACHINGA wa KARIAKOO (KARIAKOO WAMACHINGA ASSOCIATION - KAWASSO).

  2. MAKAO MAKUU

    I. DIRA YA
    Kuwa klabu yenye kuleta Mapinduzi na Maendeleo kwenye sekta ya michezo nchini.

    II. DHIMA YA
    Kuhakikisha kuwa michezo inachezwa bila Ubaguzi ili kuleta chachu ya wengi kupenda kushiriki michezo.

    III. MAONO YA
    Kuona Fursa nyingi katika michezo Ulimwenguni.

  3. MWENYEKITI

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni