Usikose kesho kuja kuangalia mchezo wa kirafiki wa kujiandaa na KOMBE LA WAMACHINGA LA MPIRA WA MIGUU, mechi ya nje.
Klabu Ya Michezo Ya Wamachinga wa Tanzania inajihusisha na michezo mbalimbali kwa kushirikiana na mashirikisho na vyama vya michezo husika kwa kutumia wataalamu wa michezo husika. MAKAO MAKUU:- OFISI ZA KAWASSO, Kariakoo Shimoni, Narung’ombe na Nyamwezi; 0713 251 041, Instagram: @wamachingasportsclub Whatsapp: 0654 955 825, Facebook: Wamachinga Sports Club Tanzania wamachingasportsclub@gmail.com
Usikose kesho kuja kuangalia mchezo wa kirafiki wa kujiandaa na KOMBE LA WAMACHINGA LA MPIRA WA MIGUU, mechi ya nje.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni