Wamachinga Sports Club Tanzania - WASPOC
Klabu Ya Michezo Ya Wamachinga wa Tanzania inajihusisha na michezo mbalimbali kwa kushirikiana na mashirikisho na vyama vya michezo husika kwa kutumia wataalamu wa michezo husika. MAKAO MAKUU:- OFISI ZA KAWASSO, Kariakoo Shimoni, Narung’ombe na Nyamwezi; 0713 251 041, Instagram: @wamachingasportsclub Whatsapp: 0654 955 825, Facebook: Wamachinga Sports Club Tanzania wamachingasportsclub@gmail.com
Alhamisi, 21 Mei 2020
HII NDIO KAMATI KUU MPYA YA WASPOC KUANZIA MEI 2020
Jumanne, 3 Julai 2018
Gazeti la WAMACHINGA: MWENYEKITI WA WASPOC TAIFA AKUTANA NA WAZIRI WA MICHEZO JULAI 2, 2018 JUMATATU.
Mwenyekiti wa Klabu ya Michezo ya Wamachinga Tanzania (WASPOC) na Rais wa Tanzania Freestyle Football Association - #TFFA (Chama cha Uchezeaji wa Mpira wa Miguu Tanzania) ndugu Morison Mosses Jumanne alimtembelea Mhe. Harrison Mwakyembe Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwenye Ofisi ndogo ya Wizara iliyopo Dar Es Salaam uwanja wa Taifa.
Ndugu Mwenyekiti aliongea mengi na Waziri kuhusu Michezo yote anayoisimamia kama Mtawala katika Vyama na Vilabu vya michezo kama vile Freestyle Football, Neymar Jr's Five, Panna, Teqball na FootPool ambayo michezo hii yote inakuwa rahisi kwake kuitekeleza kupitia Klabu ya Wamachinga Sports Club Tanzania ijapokuwa kwa sasa klabu imejikita katika soka lakini mbeleni itashughulika na Michezo hiyo ili kuleta Mapinduzi na Maendeleo katika vilabu vingine vinavyoshughulika na mchezo mmoja wakati vilabu hivyo vina usajili wa klabu ya Michezo (Sports Club).
WASPOC KAZI KAZI
WASPOC
Klabu Ya Mapinduzi, Klabu Ya Maendeleo.
ILITOLEWA NA: Gazeti la WAMACHINGA
HABARI ZA: Michezo
TAREHE: Julai 2, 2018 Jumatatu.
Jumamosi, 10 Machi 2018
Ratiba Ya Fainali Ya MACHINGA CUP π
Jumapili, 4 Machi 2018
Jumamosi, 24 Februari 2018
Februari 23: UTEUZI WA VIONGOZI
NUSU FAINALI: NYAMWEZI CHINI CHUPUCHUPU KUKOSA FAINALI, CONGO CHALI BYE BYE πππ
*Gazeti MACHINGA - Gazeti la WAMACHINGA*
*HABARI ZA MICHEZO - WASPOC*
*HATMA YA NUSU FAINALI YA KWANZA LEO*
*MATOKEO YA MCHEZO NA. 13 WA LEO*
```CONGO 1⃣ - 1⃣ NYAMWEZI CHINI```
*PENATI*
1⃣/5⃣ - 2⃣/5⃣
*WALIONG'ARA*
```Mchezaji;```Timu B, Sadiki Omari
```Kocha;``` Timu B, Yahaya Hassan
```Meneja;``` Timu B, Wile Simon
Shukrani: *Ofisi Ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala (DC & DAS), MBUNGE WA ILALA, NMB CONGO - MENEJA, KAWASSO - M/KITI, CHIEF MORISON*
```IJAYO```
Mechi: *MCHIKICHI 🆚 MUHONDA*
Shindano: *KOMBE LA WAMACHINGA LA MPIRA WA MIGUU*
Mchezo Na.: *14 - NUSU FAINALI YA PILI*
Siku: *JUMAPILI*
Tarehe: *FEBRUARI 25, 2018*
Muda: *SAA 10:00 JIONI*
Uwanja: *BENJAMIN W. MKAPA*
Hakuna: *KIINGILIO*
Mgeni Rasmi: *HAJAJULIKANA*
Wageni waalikwa: *VIONGOZI MBALIMBALI*
*WASPOC KAZI KAZI*
```WASPOC - Klabu Ya Maendeleo, Klabu Ya Mapinduzi```