Jumanne, 26 Desemba 2017

MAJUKUMU YA OFISI YA MWENYEKITI

Majukumu / Shughuli hizi zimegawanyika katika ngazi tofauti tofauti kama ngazi ya Idara, Vitengo, Sehemu, Divisheni n.k. Kila Idara ina kiongozi ambaye ni Mkuu wa Idara na Wasaidizi wake ambao ni wakuu wa vitengo ama wakuu wa sehemu. Kwa sasa Ofisi ina majukumu / shughuli kuu nane (8) ila ijulikane yanaweza kuongezeka muda wowote ule.

UTAWALA WA KLABU TAIFA

KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA WASPOC TAIFA
AWAMU YA KWANZA 2017 - 2022