📰 Gazeti La Wamachinga
HABARI ZA WASPOC
MATOKEO YA MCHEZO NA. 2
Shukrani: Ofisi Ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala (DC - @sophia_mjema & DAS), MBUNGE WA ILALA, NMB CONGO - MENEJA, KAWASSO @wamachingakariakoo - M/KITI, CHIEF MORISON @morisonmosses ```IJAYO```
Mechi: NYAMWEZI CHINI 🆚 TANGO
Shindano: KOMBE LA WAMACHINGA LA MPIRA WA MIGUU
Mchezo Na. : 3
Siku: JUMATANO
Tarehe: FEBRUARI 07, 2018
Muda: SAA 10:00 JIONI
Uwanja: BENJAMIN W. MKAPA
Hakuna: KIINGILIO
Mgeni Rasmi: HAJAJULIKANA
Wageni waalikwa: VIONGOZI MBALIMBALI
#WASPOC #KAZIKAZI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni