Jumamosi, 3 Februari 2018

KATIBU TAWALA WA HALMASHAURI YA WILAYA YA ILALA AFUNGUA KOMBE LA WAMACHINGA LA MPIRA WA MIGUU

Bw. Edward Mpogolo - DAS afungua rasmi michuano ya kombe la WAMACHINGA la Mpira wa Miguu akiwa kama mgeni rasmi akishirikiana na Meneja wa Tawi la NMB la CONGO hapo jana katika uwanja wa Benjamin William Mkapa Februari 03, 2018.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni