Jumamosi, 24 Februari 2018

Februari 23: UTEUZI WA VIONGOZI

Uteuzi wa viongozi

NUSU FAINALI: NYAMWEZI CHINI CHUPUCHUPU KUKOSA FAINALI, CONGO CHALI BYE BYE πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹

*Gazeti MACHINGA - Gazeti la WAMACHINGA*
*HABARI ZA MICHEZO - WASPOC*

*HATMA YA NUSU FAINALI YA KWANZA LEO*

*MATOKEO YA MCHEZO NA. 13 WA LEO*
```CONGO 1⃣ - 1⃣ NYAMWEZI CHINI```
*PENATI*
        1⃣/5⃣  -  2⃣/5⃣

*WALIONG'ARA*
```Mchezaji;```Timu B, Sadiki Omari
```Kocha;``` Timu B, Yahaya Hassan
```Meneja;``` Timu B, Wile Simon

Shukrani: *Ofisi Ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala (DC & DAS), MBUNGE WA ILALA, NMB CONGO - MENEJA, KAWASSO - M/KITI, CHIEF MORISON*

```IJAYO```
Mechi: *MCHIKICHI 🆚 MUHONDA*
Shindano: *KOMBE LA WAMACHINGA LA MPIRA WA MIGUU*
Mchezo Na.: *14 - NUSU FAINALI YA PILI*
Siku: *JUMAPILI*
Tarehe: *FEBRUARI 25, 2018*
Muda: *SAA 10:00 JIONI*
Uwanja: *BENJAMIN W. MKAPA*
Hakuna: *KIINGILIO*
Mgeni Rasmi: *HAJAJULIKANA*
Wageni waalikwa: *VIONGOZI MBALIMBALI*

*WASPOC KAZI KAZI*

```WASPOC - Klabu Ya Maendeleo, Klabu Ya Mapinduzi```

Jumatatu, 5 Februari 2018

MATOKEO: MCHIKICHI 1⃣ - 1⃣ NYAMWEZI JUU

📰 Gazeti La Wamachinga
HABARI ZA WASPOC

MATOKEO YA MCHEZO NA. 2

Shukrani: Ofisi Ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala (DC - @sophia_mjema & DAS), MBUNGE WA ILALA, NMB CONGO - MENEJA, KAWASSO @wamachingakariakoo - M/KITI, CHIEF MORISON @morisonmosses ```IJAYO```
Mechi: NYAMWEZI CHINI 🆚 TANGO
Shindano: KOMBE LA WAMACHINGA LA MPIRA WA MIGUU
Mchezo Na. : 3
Siku: JUMATANO
Tarehe: FEBRUARI 07, 2018
Muda: SAA 10:00 JIONI
Uwanja: BENJAMIN W. MKAPA
Hakuna: KIINGILIO
Mgeni Rasmi: HAJAJULIKANA
Wageni waalikwa: VIONGOZI MBALIMBALI

#WASPOC #KAZIKAZI

Jumamosi, 3 Februari 2018

MECHI: MCHIKICHI VS NYAMWEZI JUU Februari 04, 2018

Gazeti La Wamachinga

Shindano: KOMBE LA WAMACHINGA LA MPIRA WA MIGUU
Mchezo Na.: 2
Siku: JUMAPILI
Tarehe: FEBRUARI 04, 2018
Muda: SAA 8:00 MCHANA
Uwanja: BENJAMIN W. MKAPA
Hakuna: KIINGILIO
Mgeni Rasmi: HAJAJULIKANA
Wageni waalikwa: VIONGOZI MBALIMBALI

*#WASPOC #KAZIKAZI*

MATOKEO: SIMA 1 - 1 CONGO, HAKUNA MBABE

Mchezo Na. 1 wa ufunguzi wa kombe la WAMACHINGA la Mpira wa Miguu kati ya SIMA 🆚 CONGO watoka sare ya 1 - 1.

KATIBU TAWALA WA HALMASHAURI YA WILAYA YA ILALA AFUNGUA KOMBE LA WAMACHINGA LA MPIRA WA MIGUU

Bw. Edward Mpogolo - DAS afungua rasmi michuano ya kombe la WAMACHINGA la Mpira wa Miguu akiwa kama mgeni rasmi akishirikiana na Meneja wa Tawi la NMB la CONGO hapo jana katika uwanja wa Benjamin William Mkapa Februari 03, 2018.